[UTAMBUZI NA KUJITAMBUA Blog hii itakuwa ikijihusisha zaidi na habari za elimu ya utambuzi, Maisha, pilikapilika za hapa na pale na ushuhuda kutoka kwa watu mbali mbali watakaohitaji kuelezea uzoefu wao katika maisha.
Naamini pamoja tutasaidiana kuiboresha Blog hii na kuwa ni kitivo cha taaluma hii ya utambuzi.
Naomba kuwasilisha.]